ighalamu
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 393
- 643
Habari za humu wakuu, naomba msaada kujua ni wapi naweza kwenda kubadili fedha (dola) za zamani, yaani za miaka ya 90.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, ubarikiweBuguruni karibu na geti la shule ya Msingi,Kuna majamaa wananunua fedha za zamani,dola sarafu Wana kipaza sauti kabisa hope utapata suluhisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Buguruni ipi hiyo?Buguruni karibu na geti la shule ya Msingi,Kuna majamaa wananunua fedha za zamani,dola sarafu Wana kipaza sauti kabisa hope utapata suluhisho
Sent using Jamii Forums mobile app