Msaada kuhusu dirisha la maombi ya Vyuo vya Diploma (NACTE) kwa kozi za afya

Apr 29, 2020
41
23
Habari wana JFM, nashukuruni sana kwa mchango wengu wa mawazo na ushauri kwa thread iliyopita. Kiukweli mmenisaidia sana.

Leo nimerudi kwenu ninaomba kujua ni lini hawa nacte watafungua dirisha la maombi kwa vyuo vya afya, maana baada ya hili janga la korona kutokea imeathiri mpaka muda ambao ilipaswa waende na ratiba zao.. Ratiba yao ya masomo kwa mwaka 2019/2020 inaonyesha dirisha la maombi kwa september intake kwa mwaka 2020 lilipaswa kufunguliwa mwezi huu may 15 lakini naona kimya.. Labda pengine ratiba imebadilika ya mwezi Wa kutuma maombi hayo..

Hapo chini ni ambatanisho la kalenda ya nacte kwa academic year 2019/2020 na baadhi ya taarifa za ufunguz wa vyuo. Msaada wenu wadau..ni lini dirisha la maombi ya vyuo kwa kozi za afya litafunguliwa!?View attachment ACADEMIC-CALENDAR-2019_202019.04.2019-1.pdf

IMG-20200523-WA0004.jpg
IMG-20200523-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom