Msaada kuhusu Diamond traders investment program(DTIP)

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Katika pita pita zangu huku whatsapp kuna mtu aka share hii company ya DIAMOND TRADERS INVESTMENT PROGRAM nikamfuata akanipa namba za mwenyekiti wa hiyo company ambapo una wekeza kiasi fulani halafu unalipwa yaani mfano ukiwekeza elfu 30 unalipwa elfu 28 mara 3 ndan ya siku 9 sasa nikamuuliza nitamuuamini vipi akanitumia lesen yao na kila kitu.

Nime attach apa sasa mimi nataka kujua hivi hii company ni kweli au ndio kuna janja janja na je kuna mtu yeyote aliwahi kujiunga nao na kama hawa janja janja je kuna mtu yeyote anayejua taasisi ya aina kama hii ambayo ni ya ukwel( samahani kwa kiswahili kibovu lakini vitu vingi nime attach hapa chini)View attachment TIN0001.pdfView attachment DIAMOND TRADERS INVESTMENT-2019 - 2020.pdfView attachment BRELLA0001.pdf
 
Uliza wenzako wa inclussive forex kyelele kishawaisha kama wewe unataka uwekeze kanunue hisa za kihalali izo kampuni ni za kipigaji sikushauri sema kama umekula sportpesa au mbet au premier bet kawekezee coz ata ukipigwa autaumia kama ni ela umeangaikia kwa jasho sikushauriiii
 
Katika pita pita zangu huku whatsapp kuna mtu aka share hii compony ya DIAMOND TRADERS INVESTMENT PROGRAM nika mfuata akanipa namba za mwenyekiti wa hiyo compony ambapo una wekeza kiasi flan harafu unalipwa yaani mfano ukiwrkeza elfu 30 unalipwa elfu 28 mara 3 ndan ya siku 9 sasa nikamuuliza nitamuuamin vipi akanitumia lesen yao na kila kitu ambavyo vyote nime attach apa sasa mimi nataka kujua hivi hii compony ni kwel au ndio kuna janja janja na je kuna mtu yeyote aliwahi kujiunga nao na kama hawa janja janja je kuna mtu yeyote anayejua taasisi ya aina kama hii ambayo ni ya ukwel( samahani kwa kiswahili kibovu lakini vitu vingi nime attach hapa chini)View attachment 1193703View attachment 1193704View attachment 1193705
Mimi mwenyewe hio taarifa nimekutana nayo ilaa cjajua kma ni ya kweli au utapeli
 
Changamkieni fursa hiyo, yaani unawapa elfu 30 tu halafu we unakuwa unapokea tu pesa raha ilioje kuzaliwa Tanzania
 
Kamwe usithubutu mkuu,hata uliambiwa 500 kimbia, sitosahau skyinvestiment walichofanyua watu... jiulize wao wanapata wap pesa ya kukupa? Watasema wanatrade forex au kununua coins mbalimbali au wame invest biashara za online zikianguka ww unaponaje?
 
Tatizo ya izi mambo mkuu ni kwamba ndugu kabisa ndo anakuletea habari so hata kupinga inakua ngumu
 
Mzee akupe guarantee kabisa ukipigwa akulipe,mm mwenyewe niliingia choo sababu ya ndugu,nilishndwa kudai maana hata yeye alikuwa analia
Tatizo ya izi mambo mkuu ni kwamba ndugu kabisa ndo anakuletea habari so hata kupinga inakua ngumu
 
Katika pita pita zangu huku whatsapp kuna mtu aka share hii compony ya DIAMOND TRADERS INVESTMENT PROGRAM nika mfuata akanipa namba za mwenyekiti wa hiyo compony ambapo una wekeza kiasi flan harafu unalipwa yaani mfano ukiwrkeza elfu 30 unalipwa elfu 28 mara 3 ndan ya siku 9 sasa nikamuuliza nitamuuamin vipi akanitumia lesen yao na kila kitu ambavyo vyote nime attach apa sasa mimi nataka kujua hivi hii compony ni kwel au ndio kuna janja janja na je kuna mtu yeyote aliwahi kujiunga nao na kama hawa janja janja je kuna mtu yeyote anayejua taasisi ya aina kama hii ambayo ni ya ukwel( samahani kwa kiswahili kibovu lakini vitu vingi nime attach hapa chini)View attachment 1193703View attachment 1193704View attachment 1193705
Ukionaga mahali popote kuna pesa ya haraka ujue loss kubwaa
 
Katika pita pita zangu huku whatsapp kuna mtu aka share hii company ya DIAMOND TRADERS INVESTMENT PROGRAM nikamfuata akanipa namba za mwenyekiti wa hiyo company ambapo una wekeza kiasi fulani halafu unalipwa yaani mfano ukiwekeza elfu 30 unalipwa elfu 28 mara 3 ndan ya siku 9 sasa nikamuuliza nitamuuamini vipi akanitumia lesen yao na kila kitu.

Nime attach apa sasa mimi nataka kujua hivi hii company ni kweli au ndio kuna janja janja na je kuna mtu yeyote aliwahi kujiunga nao na kama hawa janja janja je kuna mtu yeyote anayejua taasisi ya aina kama hii ambayo ni ya ukwel( samahani kwa kiswahili kibovu lakini vitu vingi nime attach hapa chini)View attachment 1193703View attachment 1193704View attachment 1193705
KIUFUPI HAWA WATU NI MATAPELI, MIMI KAM MMOJA YA WAHANGA, NILIJARIBU KUWEKEZA, JAPO NAFSI ILISITA. WANAKUSANYA WATU NA WAKIPATA WATU WA KUTOSHA NA HELA YA KUTOSHA WANAPOTEA NA KUWAACHA NA MAGROUP YENU.
WANAKUWA KAMA WATU WAZURI WENYE MANENO MATAMU WAKATI WA KUSHAWISHI KUENDELEA KUWEKEZA LAKINI KUMBE MATAPELI TU. UNAWEZA UKAPATA HELA YA MWANZO BAADA YA SIKU TATU ILA BAADA YA SIKU YA SITA KWA AJILI YA FAIDA YA MARA YA PILI VISINGIZIO VINAANZA.
WATU WENGI WALIKOPA, NA KUWEKEZA NA HELA ZAO HAZIJARUDISHWA. WAO WAMESEPA NA NAMBA ZAO ZA MIAMALA HAZIPATIKANI TENA.
JIHADHARINI NA HAWA WATU. NA KWA USHAURI TU, PALE UNAPOONA HELA YA HARAKA NA FAIDA YA HARAKA FIKIRIA MARA MBILI, KUNA JAMBO.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom