Msaada Kuhusu course ya Computer science

Kama kichwa cha habari kinavosema nilikua naomba msaada kuhusu hii course je PCB anaweza isoma na kama ndio ni chuo gani anaweza pata akiomba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu cha muhimu cha kujiuliza ni kwa nini unataka kusoma computet science. Umeshauriwa au umetaka mwenyewe ? Kama issue ni kuwa mtaalamu wa mambo ya computer then unaweza kusoma kwa mfano degree ya information technology na nyingine kama hiyo.
Computer science hesabu ni lazima kwa vyuo vyenye majina kama UDSM lazima uwe umesoma PCM na hesabu uwe angalau na B kama sijasahau( unaweza kuconfirm kwenye prospectus ya chuo husika.
 
Alternatively kama wewe ni PCB na imeshindikana kusoma xomputer science na ndiyo course unayoipenda then anzia diploma ya IT kwenye vyuo kama University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC). Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yao www.ucc.co.tz
 
Kitu cha muhimu cha kujiuliza ni kwa nini unataka kusoma computet science. Umeshauriwa au umetaka mwenyewe ? Kama issue ni kuwa mtaalamu wa mambo ya computer then unaweza kusoma kwa mfano degree ya information technology na nyingine kama hiyo.
Computer science hesabu ni lazima kwa vyuo vyenye majina kama UDSM lazima uwe umesoma PCM na hesabu uwe angalau na B kama sijasahau( unaweza kuconfirm kwenye prospectus ya chuo husika.
Usimdanganye. Computer science inataka point 4 katka masomo mawili ya physics na Adv. Maths. Ina minimum anapaswa kuwa na DD, au CE ili awe eligible
 
Naipa Salute nyingi Computer science sidhani kama kuna kozi ngumu duniani kama hii...
Na ndo course inayoubadilisha ulimwengu. Imebadilisha jinsi watu wanavyowasiliana, jinsi ya kutibu wagonjwa, jinsi ya kupata, kukusanya nakuandaa ripoti, media industry, manufacturing industry nk. Na ndo eneo ambalo graduate akiwa competent hasa in programming hawezi kuzurura mtaani. Na ni course ambayo mtu anaweza kujiajiri kwa mtaji wa komputer yake na ujuzi.
 
Usimdanganye. Computer science inataka point 4 katka masomo mawili ya physics na Adv. Maths. Ina minimum anapaswa kuwa na DD, au CE ili awe eligible
Usimdanganye. Computer science inataka point 4 katka masomo mawili ya physics na Adv. Maths. Ina minimum anapaswa kuwa na DD, au CE ili awe eligible
Sidhani kama umeelewa nilichomshauri. Kwa faida yako pia ni kwamba nimemshauri asome degree ya information technology ambayo haijajengwa kwenye maths kama degree ya computer science.
 
Hilo sina shida nalokuu. Shida yangu ni kwenye ulazima wa mtu anayetaka kusoma computer science kuwa na B ya Adv Maths

Ukisoma post yangu namwambia kwa vyuo vyenye majina kama UDSM(CoICT) ukiwa na B ya maths una hakika ya kuchaguliwa ila mwisho nikasema kama sijasahau. Hilo neno kama sijasahau lina maana natumia kunbukumbu ya zamani. Ila mwisho nimempa ushauri kuntu kwamba asome prospectus ya chuo husika. Anyway bado sidhani kama ukiwa na D ya hesabu utaenda CoICT
 
Attachments

  • 1568262541189.gif
    1568262541189.gif
    42 bytes · Views: 57
  • 1568262540387.gif
    1568262540387.gif
    42 bytes · Views: 45
  • 1568262540926.gif
    1568262540926.gif
    42 bytes · Views: 34
  • 1568262540664.gif
    1568262540664.gif
    42 bytes · Views: 42
UDOM , UDSM , na vingine jiandae kwa hesabu zilizokwenda shure sio kama zile za Advance , huko kuna Discreet math , kuna calculation za algorithm , kuna graph theory sio graph unayojua wew , nimekueleza sio kukutisha ni kukufahamisha tu maana kuna watu, mtaani wanajua computer science ni kuchezea keyboards na ku play miziki kwenye computer au kutumoa excel na photoshop ujipange maana ukisoma computer science unaweza ku major katika mathematics ukienda masters so sio mziki wa kitoto , yote yanawezekana.
Mkuu acha kuwatisha bana wenyewe tumepitia huko huko!
 
Nakumbuka nlipokuwa O'level kuja jamaa akanambia kuna mihesabu imekaa hivi ( akaonesha kwa mkono integration), ni migumu vibaya mno.

Lakini nlipoanza kuzisoma wala hazijawahi kunisumbua kiasi kile nlichoambiwa na jamaa.

Kimsingi ugumu wa kitu upo kwa mtu binafsi, kikubwa ni kutia juhudi ya dhati kwa kile unachokifanya.
 
Ukisoma post yangu namwambia kwa vyuo vyenye majina kama UDSM(CoICT) ukiwa na B ya maths una hakika ya kuchaguliwa ila mwisho nikasema kama sijasahau. Hilo neno kama sijasahau lina maana natumia kunbukumbu ya zamani. Ila mwisho nimempa ushauri kuntu kwamba asome prospectus ya chuo husika. Anyway bado sidhani kama ukiwa na D ya hesabu utaenda CoICT
Jamaa yangu alienda CoICT 2013 akiwa na D ya Maths
 
Nakumbuka nlipokuwa O'level kuja jamaa akanambia kuna mihesabu imekaa hivi ( akaonesha kwa mkono integration), ni migumu vibaya mno.

Lakini nlipoanza kuzisoma wala hazijawahi kunisumbua kiasi kile nlichoambiwa na jamaa.

Kimsingi ugumu wa kitu upo kwa mtu binafsi, kikubwa ni kutia juhudi ya dhati kwa kile unachokifanya.
Yah kuna watu wanajua kuwaogopesha watu sana!
Kama yeye kitu kilimshinda basi sio wote hushindwa mkuu!
Kikubwa ukiambiwa kitu ongeza na zako
 
Back
Top Bottom