MSAADA KUHUSU CODES ZA MULTISELECTED TCU

Stimavoltage

Member
Oct 18, 2018
16
8
Naomba kwa anayeFahamu Deadline ya kuthibitisha (confirm) Chuo utakacho kwenda...
Pia naomba nifahamishwe namna ya kupata CODE hizi kwa haraka zaidi ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

natanguliza Shukran
 
1) Tar 28 mwisho

2)nazani kuna option ya ku request code ukiingia kwenye account yako
 
Back
Top Bottom