Msaada kuhusu Chuo cha Afya Bugando Mwanza.

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Habari za wakati huu wadau wa elimu katika jukwaa hili adhimu,I hope mko salama..

Nina mdogo angu kamaliza kidato cha nne mwaka Jana '2019',na kwa mujibu wa matokeo yaliyotolewa juzi na Necta amefaulu kwa kupata Daraja la pili yaani Division II ya 19.

Ndoto zake ni kusoma Nursing hapo Chuo cha Afya Bugando Mwanza,,kwa matokeo yake yanaonesha Chemistry ana C pia Biology ana C,ila Physics hakusajili.

Yupo Arusha so ningependa kujua utaratibu wa Bugando jinsi ya Kudahili wanafunzi ikiwemo vigezo wanavyozingatiaga,yeyeto anaeujua utaratibu wa ku'apply ukoje na huanza lini?pia nikipata mwanafunzi wa pale itakua vizuri zaidi..au ani PM.

Ahsanteni sana...Wasalaam.

@NgarenaroBoy
 
Kwanza nampa kongole sana dogo kwa matokeo hayo, pili kwakuwa PHYSICS hakusoma hawezi pata nafasi ya kusoma hapo BUGANDO na chuo chochote hapa TANZANIA sambamba na programme zifuatazo CLINICAL MEDICINE, MEDICAL LABORATORY na RADIOLOGY, isipokuwa PHARMACY tu ndio anaweza pata, na PHARMACY kwa BUGANDO haipo chini ya serikali ipo upande wa chuo na chini ya TCU, ila NURSING inasimamiwa na serikali na ipo NACTE...
 
Back
Top Bottom