Msaada kuhusu bodi ya mikopo

thee kid

Member
May 13, 2019
64
48
Habarini wakuu?naomba nipewe ufafanuzi juu ya hizi tetesi zilizozagaa kwamba ukitumia pen ya blue katika kujaza form ya maombi ya mikopo ya elimu ya juu kuwa ni makosa eti black pen ndo inatakiwa?naombeni ufafanuzi juu ya jambo hill?
 
sio unasikia ua inatakiwa pen nyeusi, tatizo linaweza likawepo au lisiwepo ila naisi wote ua wanajaza kwa pen nyeusi.

na kama lisipokuepo siku nyingine fata utaratbu, wewe form ya mkopo, una uhitaji alafu unashindwa kufata mambo madogo madogo kama ayo, na ilo so la kuambiwa ua ni ivo.

ila hamna, na kama litakuepo siku nyingine jitaidi kufata taratibu sehemu yoyote ile..
Je kama tayari form nishaituma na nimetumia peni ya blue kuna tatizo?
 
sio unasikia ua inatakiwa pen nyeusi, tatizo linaweza likawepo au lisiwepo ila naisi wote ua wanajaza kwa pen nyeusi.

na kama lisipokuepo siku nyingine fata utaratbu, wewe form ya mkopo, una uhitaji alafu unashindwa kufata mambo madogo madogo kama ayo, na ilo so la kuambiwa ua ni ivo.

ila hamna, na kama litakuepo siku nyingine jitaidi kufata taratibu sehemu yoyote ile..
Lakini hakuna sehemu yoyote waliyo tu guide tutumie black pen only.maana hats kwenye muongozo wao hawajagusia kitu kama hicho mkuu
 
io so kuambiwa an ua iko ivo, ila nais hamna tatzo,

na ao wajumbe wanasainije kwa pen ya blue
 
Dah hata sielewi kaka maana me niliwapelekea form wakatia sahihi zao.suala LA black or blue pen nilikuwa siko aware nalo
 
Habarini wakuu?naomba nipewe ufafanuzi juu ya hizi tetesi zilizozagaa kwamba ukitumia pen ya blue katika kujaza form ya maombi ya mikopo ya elimu ya juu kuwa ni makosa eti black pen ndo inatakiwa?naombeni ufafanuzi juu ya jambo hill?
Kama ulijaza kwa pen ya blue usijali mkuu ingawa HESLB huwa wanataka utumie pen nyeusi, kama una vigezo mkopo utapata kuwa mvumilivu maombi yanafanyiwa kazi
 
Back
Top Bottom