Msaada kuhusu bima ya afya

wakuja town

JF-Expert Member
Oct 26, 2020
898
1,341
Habari za asubui wakuu.

Naomba anaejua bima ya afya yoyote ya gharama nafuu tofauti na nhif anijuze.

Nataka niwakatie wazee wangu, binafsi natumia ile ya nssf ya kuchangia elfu 20 kwa mwezi bt recently wamesitisha kupokea wanachama wapya kwa mda usiojulikana wameacha tu wale ambao walishajiunga kitambo.

Msaada wakuu.
 
Kama mjuavyo siku hizi kwenda hospital kutibiwa kwa keshi ni mbinde sana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom