Msaada kuhusu biashara ya phones, phone accessories na vifaa vya umeme

Bishaa za simu zinazo toka haraka ni kama zote tu kama earphone..chaji..bat music..memory card..flash..betri za original na feki zote zina tembea..makava yana tembea sema kama una anza siku shauri ununue na makava mana makava yapo kama nguo fasheni mpya karibu kila Mara inatoka na ikitoka tu basi Yale ya zamani sokoni haya uziki tena
asante kwa mchango
 
Hakuna kitu kama hicho mimi naifanya hii kazi muda sasa.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
wanao jishughulisha na biashara ya julma msaada tafadhari wa bidhaa zinazo toka kwa halaka ikiwezekana wekeni na bei ili niangalie uwezekano wa kufanya biashara
 
wanao jishughulisha na biashara ya julma msaada tafadhari wa bidhaa zinazo toka kwa halaka ikiwezekana wekeni na bei ili niangalie uwezekano wa kufanya biashara
Display za simu ndogo jumla range 4000 mpaka 5000 wewe utauza 7000 mpaka 8000.
Mic jumla 2000 ziko 10 wewe utauza moja 500
System charge jumla 500 wewe utauza 1000 mpaka 1500.

Ili upate faida zaidi lazima uwe fundi.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Display za simu ndogo jumla range 4000 mpaka 5000 wewe utauza 7000 mpaka 8000.
Mic jumla 2000 ziko 10 wewe utauza moja 500
System charge jumla 500 wewe utauza 1000 mpaka 1500.

Ili upate faida zaidi lazima uwe fundi.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Duh hapo kazi
 
nashukilu kwa mchango.ongezea bidhaa zingine unazo zifaham kama hutojari
 
nashukilu kwa mchango.ongezea bidhaa zingine unazo zifaham kama hutojari
Display za smart ranges 25000 mpaka 35000 kuuza 50000 mpaka 55000 ukiwa fundi unaongeza 10000 ya kumuwekea mteja.

Touch 5000 mpaka 7000 kuuza 10000 mpaka 15000.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Mkuu ukifanikiwa nami nishirikishe.
Habari wana uchumi.

Naomba kujuzwa wapi ni sehemu sahihi ya kufunga mzigo wa phones and phone accessories kwa bei ya jumla kati ya Tunduma na DSM/Kariakoo.

Mimi nipo mkoa wa Songwe. Pia naomba kujuzwa na machimbo ya vifaa vya electronics kama pasi, mashine za kunyolea, heater pamoja na vifaa vya umeme na ikiwezekana wenye uzoefu wa hi biashara mnisaidie na minimum capital ya kuanza nayo.

Nakaribisha michango yenu.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Display za smart ranges 25000 mpaka 35000 kuuza 50000 mpaka 55000 ukiwa fundi unaongeza 10000 ya kumuwekea mteja.

Touch 5000 mpaka 7000 kuuza 10000 mpaka 15000.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
nashukuru boss
 
Mkuu nikushauri kitu kimoja ambacho utanishukuru mbeleni, tenga muda wa miezi miwili tu tafuta skills za mobile phone repair halafu fungua ofisi ya utengenezaji simu.

Bajeti ni kama laki sita tu.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Hasara katika biashara hii ni mara chache sana hasa ndani ya mwaka mmoja.
 
Vipi kuhusu katazo la serikali kuhusu mafundi simu
Serikali inataka pesa tu katika hili.

Hivi ushawahi fikilia watanzania wangapi wanamiliki simu na MAFUNDI WAO HAO WA KIPAWA wapo wangapi katika jamii zetu.

Wananchi hawezi kukosa huduma lwa kusubiri wakufunzi kutoka vyuo.
 
Hongera mkuu kwa kuwa na wazo zuri ila hiyo budget naona bado ni changamoto. Nasema hivi kwa kuwa kufanya wiring kwa nyumba moja yenye room nne sebule vyoo na dining material yake ni zaidi ya 3m sasa akija mteja wa namna hiyo sijui utafanyaje.
akijja mteja wa namna hyo unamwambia lipia advance nikakufatie store. then unaenda kwa mwenye duka kubwa unachukua mzigo kwa mali kauli+ ike advance ya mteja. then unampelekra mteja mali yake anakumalizia pesa afu unaenda kulipa kule then unabaki na faida yako.
 
Back
Top Bottom