kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,537
- 1,653
Hapo ndo patamulasivyo utaambulia kulipa simu za watu.
Hapo ndo patamulasivyo utaambulia kulipa simu za watu.
asante kwa mchangoBishaa za simu zinazo toka haraka ni kama zote tu kama earphone..chaji..bat music..memory card..flash..betri za original na feki zote zina tembea..makava yana tembea sema kama una anza siku shauri ununue na makava mana makava yapo kama nguo fasheni mpya karibu kila Mara inatoka na ikitoka tu basi Yale ya zamani sokoni haya uziki tena
Vipi kuhusu katazo la serikali kuhusu mafundi simu
wanao jishughulisha na biashara ya julma msaada tafadhari wa bidhaa zinazo toka kwa halaka ikiwezekana wekeni na bei ili niangalie uwezekano wa kufanya biasharaHakuna kitu kama hicho mimi naifanya hii kazi muda sasa.
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Display za simu ndogo jumla range 4000 mpaka 5000 wewe utauza 7000 mpaka 8000.wanao jishughulisha na biashara ya julma msaada tafadhari wa bidhaa zinazo toka kwa halaka ikiwezekana wekeni na bei ili niangalie uwezekano wa kufanya biashara
Duh hapo kaziDisplay za simu ndogo jumla range 4000 mpaka 5000 wewe utauza 7000 mpaka 8000.
Mic jumla 2000 ziko 10 wewe utauza moja 500
System charge jumla 500 wewe utauza 1000 mpaka 1500.
Ili upate faida zaidi lazima uwe fundi.
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
nashukilu kwa mchango.ongezea bidhaa zingine unazo zifaham kama hutojariDisplay za simu ndogo jumla range 4000 mpaka 5000 wewe utauza 7000 mpaka 8000.
Mic jumla 2000 ziko 10 wewe utauza moja 500
System charge jumla 500 wewe utauza 1000 mpaka 1500.
Ili upate faida zaidi lazima uwe fundi.
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Display za smart ranges 25000 mpaka 35000 kuuza 50000 mpaka 55000 ukiwa fundi unaongeza 10000 ya kumuwekea mteja.nashukilu kwa mchango.ongezea bidhaa zingine unazo zifaham kama hutojari
Habari wana uchumi.
Naomba kujuzwa wapi ni sehemu sahihi ya kufunga mzigo wa phones and phone accessories kwa bei ya jumla kati ya Tunduma na DSM/Kariakoo.
Mimi nipo mkoa wa Songwe. Pia naomba kujuzwa na machimbo ya vifaa vya electronics kama pasi, mashine za kunyolea, heater pamoja na vifaa vya umeme na ikiwezekana wenye uzoefu wa hi biashara mnisaidie na minimum capital ya kuanza nayo.
Nakaribisha michango yenu.
Asante.
usiwaze jembe.japo watalam wanasuasua.sijui wapo kalantini
nashukuru bossDisplay za smart ranges 25000 mpaka 35000 kuuza 50000 mpaka 55000 ukiwa fundi unaongeza 10000 ya kumuwekea mteja.
Touch 5000 mpaka 7000 kuuza 10000 mpaka 15000.
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Kaaka nimeku PMHakuna kitu kama hicho mimi naifanya hii kazi muda sasa.
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Hasara katika biashara hii ni mara chache sana hasa ndani ya mwaka mmoja.Mkuu nikushauri kitu kimoja ambacho utanishukuru mbeleni, tenga muda wa miezi miwili tu tafuta skills za mobile phone repair halafu fungua ofisi ya utengenezaji simu.
Bajeti ni kama laki sita tu.
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Serikali inataka pesa tu katika hili.Vipi kuhusu katazo la serikali kuhusu mafundi simu
Mambo vipi kamanda,Mkuu kuusu mtaji sijajua ila ni biashara inayolipa sana hususani eneo linalokuwa kimaendeleo karibu pm nikupe ushauri
akijja mteja wa namna hyo unamwambia lipia advance nikakufatie store. then unaenda kwa mwenye duka kubwa unachukua mzigo kwa mali kauli+ ike advance ya mteja. then unampelekra mteja mali yake anakumalizia pesa afu unaenda kulipa kule then unabaki na faida yako.Hongera mkuu kwa kuwa na wazo zuri ila hiyo budget naona bado ni changamoto. Nasema hivi kwa kuwa kufanya wiring kwa nyumba moja yenye room nne sebule vyoo na dining material yake ni zaidi ya 3m sasa akija mteja wa namna hiyo sijui utafanyaje.