Msaada kuhusu biashara ya phones, phone accessories na vifaa vya umeme

Hyo ya chakula sawa ina uhakika.
Naonaga pale maeneo ya karibu na sokoni Kuna waarabu koko Wana migahawa yaani wanauza sana hawapumziki muda wote wateja wamejazana pamoja na kwamba mazingira yao sio masafi.
Yaani mkuu ukisikia kitu cha kula acha tu kwa mjini huwezi kuwa maskini kama ukiwa na bidii ya kuifanya. Pata picha uuze wali nyama
Kilo moja 1700 mchele mzuri wa kahama
Viungo 1000
Nyama 2500
Mafuta ya 500
Energy au jiko mkaa 700
Kilo moja ya wali wanakula watu mpaka Saba kwa ratio ya mgahawani wengine kiroho mbaya wanaekaga hata watu 8 au 9 huko 😂😂 hapo umenunua 6800.
sahani moja kwa watu saba wewe uza 2000 ya wali nyama uone unapata sh. Ngapi maana wewe unamgahawa si 14000 hapo toa faida yako? Aseeeeeh
 
Nani kakuambia fremu kumiliki kariakoo Ni zaidi ya milioni 20, sasa hivi kariakoo mpaka frem za laki 2.5 ndogo zipo boss mlango mmoja na za laki 3 nzuri zipo kabisa sasa ukipata ya miezi 3 au wewe Mtaji wako Ni upi maana tunajua una mil. 20 ulivosema fremu kariakoo Ni zaidi ya 20mil.

Ni kwelii zipo za 300000 ila ambacho hujui ni kwamba wengi kodi inakaribia kuisha hua hawaachii frem wanatafuta watu na kuwauziaa.....
kuipata frem kirahis inabid ujuane na anaetaka kuhama kwenye frem
 
Ni kwelii zipo za 300000 ila ambacho hujui ni kwamba wengi kodi inakaribia kuisha hua hawaachii frem wanatafuta watu na kuwauziaa.....
kuipata frem kirahis inabid ujuane na anaetaka kuhama kwenye frem
Okay kwa sasa nafahamu tu fremu ya laki 4 ambayo ipo
 
Kabisaaa kaka..... nataka nikaangalie Tandika kule
Na tegeta Kuna fursa gan
Tegeta mm naifaham vizur mkuu.
Kuna fremu ilikuwepo maeneo ya stendi tegeta nyuki kwa Bei ya 150000 kwa mwezi.
Ukifanikiwa kuja nifahamishe nikuunganishe na madalali.
 
kweli dar mzunguko mkubwa komaa na dar ...sasahv mitandao inatusaidia sio lazma uwe na frame kkoo ....iwepo mjini tu ambapo pana watu ,karibu na main road na accessible ...mengine mitandao itakusaidia ....
 
Habari wana uchumi.

Naomba kujuzwa wapi ni sehemu sahihi ya kufunga mzigo wa phones and phone accessories kwa bei ya jumla kati ya Tunduma na DSM/Kariakoo.

Mimi nipo mkoa wa Songwe. Pia naomba kujuzwa na machimbo ya vifaa vya electronics kama pasi, mashine za kunyolea, heater pamoja na vifaa vya umeme na ikiwezekana wenye uzoefu wa hi biashara mnisaidie na minimum capital ya kuanza nayo.

Nakaribisha michango yenu.

Asante.
 
naomba kwa wazoefu mnisaidie jinsi ya kuchagua location nzuri na mambo ya msingi yanayo weza ifanya ikue kwa kasi
 
Kwani watu wa Tunduma wana chukuwa mizigo yao wapi kama ni kariakoo basis kariakoo itakuwa ni nafuu zaidi ya Tunduma.. Cha msingi angalia bei za tunduma zipo vipi linga nisha na kariakoo arafu angalia na nauli ya dar songwe na tunduma songwe utakapo ona kuna unafuu ndo uende data mzigo.. Kuhusu kujifunza ufundi cm co lazima sana unaweza uza vifaa bila kuwa fundi cm na kuba vifaa vya cm havihitaji uwe fundi cm vifaa kama earphone Berri..chaji..makava..USB.. Vifaa vinavyo taka ufundi n displays.. Mic..speaker's.. Touch..etc ukitaka uweke weka na una uza vzr tu.
 
nashukuru kwa mchango
 
Bishaa za simu zinazo toka haraka ni kama zote tu kama earphone..chaji..bat music..memory card..flash..betri za original na feki zote zina tembea..makava yana tembea sema kama una anza siku shauri ununue na makava mana makava yapo kama nguo fasheni mpya karibu kila Mara inatoka na ikitoka tu basi Yale ya zamani sokoni haya uziki tena
 
Vipi kuhusu katazo la serikali kuhusu mafundi simu
Mkuu nikushauri kitu kimoja ambacho utanishukuru mbeleni, tenga muda wa miezi miwili tu tafuta skills za mobile phone repair halafu fungua ofisi ya utengenezaji simu.

Bajeti ni kama laki sita tu.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Bishaa za simu zinazo toka haraka ni kama zote tu kama earphone..chaji..bat music..memory card..flash..betri za original na feki zote zina tembea..makava yana tembea sema kama una anza siku shauri ununue na makava mana makava yapo kama nguo fasheni mpya karibu kila Mara inatoka na ikitoka tu basi Yale ya zamani sokoni haya uziki tena
Simu na vifaa vyake ni biashara nzuri ukijipanga vizuri hasa kifedha ofisi ikapendeza lazima uuze maana nivitu vinatakiwa mara kwa Mara. Hata spea unauza tu ilimradi eneo ulipo panamafundi cm.Japo ukiwa nawewe ni fundi utakuwa unapiga kotekote japo ufundi ni uwe na Hobie lasivyo utaambulia kulipa simu za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom