King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,573
- 1,344
Yaani mkuu ukisikia kitu cha kula acha tu kwa mjini huwezi kuwa maskini kama ukiwa na bidii ya kuifanya. Pata picha uuze wali nyamaHyo ya chakula sawa ina uhakika.
Naonaga pale maeneo ya karibu na sokoni Kuna waarabu koko Wana migahawa yaani wanauza sana hawapumziki muda wote wateja wamejazana pamoja na kwamba mazingira yao sio masafi.
Kilo moja 1700 mchele mzuri wa kahama
Viungo 1000
Nyama 2500
Mafuta ya 500
Energy au jiko mkaa 700
Kilo moja ya wali wanakula watu mpaka Saba kwa ratio ya mgahawani wengine kiroho mbaya wanaekaga hata watu 8 au 9 huko 😂😂 hapo umenunua 6800.
sahani moja kwa watu saba wewe uza 2000 ya wali nyama uone unapata sh. Ngapi maana wewe unamgahawa si 14000 hapo toa faida yako? Aseeeeeh