Msaada kuhusu biashara ya madini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu biashara ya madini

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by The hammer, May 15, 2013.

 1. The hammer

  The hammer JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2013
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,212
  Likes Received: 1,128
  Trophy Points: 280
  Habarini wana jf wote:

  Wana jf ninataka kujiajiri kwenye secta ya madini lakini hasa kwenye dhahabu na hata aina nyingine ya madini ya vito...

  Kwa sasa siyajui maeneo wanapouza,hivyo ninaomba ushauri wenu kwa walio na ufaham na hata waliofanya na wanaoendelea kufanya shughuli hizi.Ninaomba ushauri katika mambo yafuatayo:

  1:changamoto za biashara yenyewe
  2:sehemu ninapoweza kupata madini hayo na aina yenyewe
  3:usalama wa eneo unaloshauri nifike
  4:Upatikanaji wa usafiri na barabara
  5:maeneo yenye madini ambayo bado hayajamilikishwa ili ikiwezekana ninunue eneo na kuwa na machimbo yangu
  na mengineyo unaweza ongeza

  Aliye na taarifa sahihi tunaweza wasiliana kwa kuni-pm,nitawashukuru kwa ushauri mzuri mtakaonipa
   
Loading...