Msaada:kuhusu barua ya uhamisho tamisemi kidato cha tano 2016

muoga wa jf

Senior Member
Jun 27, 2016
198
214
Wakuu habari jumatatu ya wiki tulipofika ofisi ndogo ya tamisemi magogoni walituambia mwaka huu hakuna uhamisho wa wowote mpaka ufanye kwa njia ya kawaida pindi uwasilipo shule

Ila baada ya muda mfupi kidogo yule kiongozi alituambia tuandike barua kama unasababu za msingi za kuhama swali langu je ni kweli wanaweza kuzisoma na kazi jipu? pia wanaweza badilisha combination na shule kweli?

Na pia tukumbuke hapo walisema hakuna uhamisho mwaka lakini miaka yote ubadilisha shule na combination iweje isiwe mwaka huu tu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom