Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,800
- 11,333
Wakuu habar zenu. Naomba msaada wenu kwa yoyote anayejua namna ya ku apply na kupata athletic scholarship zitolewazo nchini USA kwa wanamichezo vijana. Mdogo wangu ana kipaji kikubwa cha soka na upeo mkubwa darasani. Anataka aweze kunufaika na elimu huku akiendeleza kipaji. Nimejaribu kuwaandikia email site tofauti zinazohusika bila majibu na wengine wakijibu kuwa watatupigia simu lakini kimya. Msaada tafadhali kwa anayejua, hizo scholarship za michezo ndizo zilizomsaidia hata Hasheem Thabeet. Nawakilisha!