Msaada kuhusu android....

New Nytemare

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
3,310
2,425
msaada jamani..kuna jamaa angu alishika simu yangu akawa anataka ku unlock ili aitumie,na mie nli lock kwa kutumia pattern sasa inavoonesha alikosea mara nyingi kwa sasa inataka kulog in kwa gmail account nliokuwa nnatumia kwenye google play..tatizo n'imesaau account name ya gmail nakumbuka password..hata nikizima nikiwasha haidai pattern za ku draw inataka nilog in tu..ila simu napokea kama kawaida..
 
Hapa pagum yan paswod zipo kama user name umesahau na hauna mpango wa kukumbuka nenda ka flash itakuwa poa
 
msaada jamani..kuna jamaa angu alishika simu yangu akawa anataka ku unlock ili aitumie,na mie nli lock kwa kutumia pattern sasa inavoonesha alikosea mara nyingi kwa sasa inataka kulog in kwa gmail account nliokuwa nnatumia kwenye google play..tatizo n'imesaau account name ya gmail nakumbuka password..hata nikizima nikiwasha haidai pattern za ku draw inataka nilog in tu..ila simu napokea kama kawaida..

Hyo itabidi u -formart. Kama ulidisconect data basi haina budi ufanye hvyo.
Zima simu yako.
Sikilia powerful off na volume down kwa pamoja.
Hapo zitakuja options zaid ya moja. Tafuta erase data/format.
Baada ya hapo utabonyeza volume down up ili uselect ianze ku format.
Nadhani niko sahihi. Kama yuko mwenye mawazo zaidi ya haya atakupa.

Ni hayi tu
 
nashukuru sana wakubwa nimefanikiwa kwa kufuata mawazo ya mkuu eliasy na kisha nimeanza upya kila kitu..
 
msaada jamani..kuna jamaa angu alishika simu yangu akawa anataka ku unlock ili aitumie,na mie nli lock kwa kutumia pattern sasa inavoonesha alikosea mara nyingi kwa sasa inataka kulog in kwa gmail account nliokuwa nnatumia kwenye google play..tatizo n'imesaau account name ya gmail nakumbuka password..hata nikizima nikiwasha haidai pattern za ku draw inataka nilog in tu..ila simu napokea kama kawaida..

Off button±Volume up button+homevbutton
boffya hizo kwa pamoja na fanya factory reset
 
Hyo itabidi u -formart. Kama ulidisconect data basi haina budi ufanye hvyo.
Zima simu yako.
Sikilia powerful off na volume down kwa pamoja.
Hapo zitakuja options zaid ya moja. Tafuta erase data/format.
Baada ya hapo utabonyeza volume down up ili uselect ianze ku format.
Nadhani niko sahihi. Kama yuko mwenye mawazo zaidi ya haya atakupa.

Ni hayi tu

Du mkuu unatisha!!
 
Back
Top Bottom