Msaada kuhusu allocation ya Loan Board

Night Watch

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
2,005
1,954
Habari zenu wakuu,

Nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo kwa jambo fulani linalonikabili.Mimi ni mwanafunz wa chuo nimeingia kwenye allocation yangu lkn hapo kwenye returned amount ndo inanichanganya kwa anaefahamu maana sijawah kukosa kusain boom, wala ada na zote nishasain na nikapewa.

Lakini kuna mtu kaniambia hiyo ni fedha inarudishwa bodi baada ya mwanafunzi kutokusaini na akaniambia inawezekana hiyo ni ela ya field ambayo sikusaini mwaka jana kutokana na kuamini nimekosa na sikuona kwenye alocation, mwenye uelewa zaidi kuhusu hili swala naomba ufafanuzi tafadhali kama hii hela ninaweza kuipata.

Nawasilisha.



476a1edd-9d22-4c01-a506-e2ad2ed35597.jpg

b9373c65-82ae-442c-8682-e99c3bdf0753.jpg
 
Habari zenu wakuu
Nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo kwa jambo fulani linalonikabili.Mimi ni mwanafunz wa chuo nimeingia kwenye allocation yangu lkn hapo kwenye returned amount ndo inanichanganya kwa anaefahamu maana sijawah kukosa kusain boom ,wala ada na zote nishasain na nikapewa.

Lakini kuna mtu kaniambia hiyo ni fedha inarudishwa bodi baada ya mwanafunzi kutokusaini ...na akaniambia inawezekana hiyo ni ela ya field ambayo sikusaini mwaka jana kutokana na kuamini nimekosa na sikuona kwenye alocation,mwenye uelewa zaidi kuhusu hili swala naomba ufafanuzi tafadhali kama hii hela ninaweza kuipata.

Nawasilisha.View attachment 1823127
View attachment 1823128
Kwa hiyo kuna hela ambayo hukusaini? Kwa kuzani kuwa ulikosa allocation.

Ebu anzia kwa Ofisa Mikopo/Mhasibu chuoni kwako ataweza kukupatia muongozo vizuri, maana mambo ya kusaini mara nyingi yanapitia kwake ingawa siku hizi mnasaini online
 
Kwa hiyo kuna hela ambayo hukusaini? Kwa kuzani kuwa ulikosa allocation.

Ebu anzia kwa Ofisa Mikopo/Mhasibu chuoni kwako ataweza kukupatia muongozo vizuri, maana mambo ya kusaini mara nyingi yanapitia kwake ingawa siku hizi mnasaini online

Asante sana nitafanya hivyo.
 
Mkuu, hzi taarifa unapata sehemu gani Kule website ya mikopo.. Nami nataka nijue oesa zote nilizotumia hadi sasa
 
Ingia account uliyoombea mkopo taarifa zote zipo
Kuingia naingia Ila sijui wape niclick nipate hzo taarifa ndo kitu nilichokimaanisha. Maana nikiingia naona pesa za miaka yangu yote ambazo zilikuwa zinaonekana hats kabla sijafika chuo na kupewa pesa
 
Back
Top Bottom