Pamoja na mwaka. i.e anaweza kutumia e.g S0883.0146.2009Umekosea izo index numbers, usianze kwa kuandika S ndogo,start with S kubwa then tumia hyphen(-) kutenganisha no ya shule na namba ya mtihani..yaani isomeke hivii S1755-0357.
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Nayo ni njema pia,bless.Pamoja na mwaka. i.e anaweza kutumia e.g S0883.0146.2009
Nakushauri anza upya, yaani angalia atachiments kama zipo mbili then delete anza upyaKwa hiyo hapo inabidi nifanyaje??
Anhaa, hapo umeingiza form four index number mara nyingi so ndio maana inakwambia, multiple record for index number chakufanya badilisha email ktk usajili lkn hakikisha email iko valid. Jaribu hvyo mkuu ila form iv index number ni hiyo hiyo yako, ww badilisha email na anza kujisajili upya kwa kujaza information zako, kumbuka majina yawe kama yanavyoonekana ktk cheti cha form ivMkuu nimefanya hivohivo ila bado tatizo lipo palepale inaniandikia error unable to save your data.. multiple records for index number existView attachment 1996588
Nashukuru sana mkuu kwa kujali kwako... niliwapigia sjmu kwa bahati nzuri wakapokea kama ulivyoniambia nilijaza mara nyingi vyeti so amenirekebishia,kwa kuzifuta.. na saahv nimecheki iko poa.. shukran sana chifuAnhaa, hapo umeingiza form four index number mara nyingi so ndio maana inakwambia, multiple record for index number chakufanya badilisha email ktk usajili lkn hakikisha email iko valid. Jaribu hvyo mkuu ila form iv index number ni hiyo hiyo yako, ww badilisha email na anza kujisajili upya kwa kujaza information zako, kumbuka majina yawe kama yanavyoonekana ktk cheti cha form iv
Pamoja sana mkuu ✌️Nashukuru sana mkuu kwa kujali kwako... niliwapigia sjmu kwa bahati nzuri wakapokea kama ulivyoniambia nilijaza mara nyingi vyeti so amenirekebishia,kwa kuzifuta.. na saahv nimecheki iko poa.. shukran sana chifu
Ni namba ya shule pamoja na yake mtihani, hawahitaji mwaka wanaonesha mfano S9999-9999Pamoja na mwaka. i.e anaweza kutumia e.g S0883.0146.2009