Msaada kuhusu ajira plz

Tatemahunda

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
232
91
Wanajamvi naombeni kwa anayejua kuhusu wizara ya kilimo,kuna mtu kaniambia kua wizara ya kilimo imeshapata kibali cha kuajili maafisa ugani wapya,sasa ningeomba uthibitisho kwenu wana jf maana kuna biashara nataka nianzishe sasa sitaki kupata hasara kuacha biashara yangu kwenda kazini
 
Usiache mbachao kwa msala upitao.

Je, ata wakitoa hafu uka apply then usiitwe au ukaitwa interview usipite? Kuna hasara gani ukirudi kuendeleza biashara yako?
 
Back
Top Bottom