Msaada kuhusiana na taharifa zilizotolewa kwenye wiki hii ya orientation Chuo kikuu cha SUA

Milego

Member
Oct 19, 2017
42
21
Husika na kichwa hapo juu,kuna taarifa yeyote muhimu iliyotelewa tangu jumatatu hadi leo jumatano kwa wale waliohudhuria orientation week plz naomba niwe napata taarifa kutoka kwenu ndani ya hii wiki kile kinachoendelea.
Asanten
 
hebu toa hilo neno "taharifa" andika taarifa kwenye title yako ili uende sawa na hao uliohitaji wakupe hizo data.
 
Hivi hilo nalo linahitaji kufungua Uzi,muda c mrefu utakuja tena kuuliza wenzako wamesoma nini darasani
 
JF mda mwingine inadumaza akili asee, mleta uzi ebu tembelea tovuti ya SUA utapata updates zote......by the way hongera kwa kuchaguliwa Chuo cha kilimo Sokoine, SUA.
 
Hivi hilo nalo linahitaji kufungua Uzi,muda c mrefu utakuja tena kuuliza wenzako wamesoma nini darasani
Hapana siwezi kuuliza hivo maana kila nikitembelea website ya Chuo Announcement zao ni zilezile za zamani hakuna mpya
 
JF mda mwingine inadumaza akili asee, mleta uzi ebu tembelea tovuti ya SUA utapata updates zote......by the way hongera kwa kuchaguliwa Chuo cha kilimo Sokoine, SUA.
Asante ila changamoto ipo katika kupata mkopo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom