Msaada: Kufungua ofisi ya computer maintenance and repair

kisalii

Member
Sep 10, 2019
10
4
Habari za muda huu wadau! Nawasalimu,

kama kichwa cha habari kilivyoeleza nakaribia kumaliza chuo hivyo natamani nifungue ofisi ya kufanya maintenance na graphics.

Kwenye comp maintenance natakiwa kuwa na vifaa gani kwa kuanzia?

Na hivyo vifaa ni bei gani?

Naombeni mnisaidie wadau najua wajuzi huku wako wengi mno. Asanteni na naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan wewe unasoma Computer maintenance halafu hujui vifaa vya kuwa navyo kwa ajili ya ufundi!!!! Itakua unasoma theory peke yake hicho chuo hakikufai.

Vitu vya muhimu ni screw drivers - kwa ajili ya kufunguli
Meter- kwa ajili ya kupimia current flowing
Blower- kwa ajili ya ku remove Diodes na Gun kwa ajili ya kuungia Diode

Hivi ndio vitu vya muhimu

Shukran mkuu, nilitaka nipate ufafanuz kutoka kwa watu wenye uzoefu na target ilkuwa pia kujua bei ya vifaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom