rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
chadema tunaomba muongozo jinsi ya kufungua matawi ya chadema nje ya tanzania,
nimetembea nchi mbalimbali hasa za africa na kugundua watanzania wanaoishi huko wanatamani mabadiliko yatokee ili warejee kujenga nchi yao,
naomba uongozi wa chadema uangalie kwa mapana yake jinsi ya kuwasaidia kufungua matawi katika nchi mbalimbali,
hii vita itapiganwa na watanzania wote kwa hali na mali.