Msaada kufungua matawi ya CHADEMA nje ya nchi

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
chadema tunaomba muongozo jinsi ya kufungua matawi ya chadema nje ya tanzania,
nimetembea nchi mbalimbali hasa za africa na kugundua watanzania wanaoishi huko wanatamani mabadiliko yatokee ili warejee kujenga nchi yao,
naomba uongozi wa chadema uangalie kwa mapana yake jinsi ya kuwasaidia kufungua matawi katika nchi mbalimbali,
hii vita itapiganwa na watanzania wote kwa hali na mali.
 
Muda si mrefu wahusika watatoa mwongozo kuhusu hili. Good idea
 
nadhani kwanza tuboreshe matawi ya ndani kabla ya kwenda nje, wapiga kura wengi na wasiojua haki zao wapo ndani ya nchi na ni muhimi kuwafikia kabla...twende kwa zamu jamani
 
Silly umenena, vijijini ambapo juzi tumepoteza jimbo kwa 7bu yao. Leo twende nje ya nchi kufanya nn? Nenda makao makuu ukachukue kadi uwagawie na uhamasishe mabadiliko. Tunataka mabadiliko ndani zaidi ya nje.
 
Hakuna haja ya kupoteza muda wa kufungua matawi nje ya nchi wakati chadema hakina maisha marefu.
 
Hakuna haja ya kupoteza muda wa kufungua matawi nje ya nchi wakati chadema hakina maisha marefu.

we ni inzi elimu ya darasani imekushinda umedisko udom, unafikiri hizi medani za siasa utaziweza,endelea kuuza hilo ua we takataka.stupid.
 
Mnaangaika kufungua matawi nje ya nchi wakati Makao Makuu ya chama ofisi zake utadhani Saccos za Igunga.
Jengeni kwanza Jengo la chama hapa Tanzania, tafute sehemu Kilimanjaro au Arusha mjenge, huo ndio ushauri wangu kwa CDM
 
chadema tunaomba muongozo jinsi ya kufungua matawi ya chadema nje ya tanzania,
nimetembea nchi mbalimbali hasa za africa na kugundua watanzania wanaoishi huko wanatamani mabadiliko yatokee ili warejee kujenga nchi yao,
naomba uongozi wa chadema uangalie kwa mapana yake jinsi ya kuwasaidia kufungua matawi katika nchi mbalimbali,
hii vita itapiganwa na watanzania wote kwa hali na mali.

Mkuu, unaweza kututajia majina ya hizo nchi ulizotembelea wakakuambia wanataka tawi la CDM?
 
Back
Top Bottom