Msaada kufix tatizo la port za laptop ,  Unknown USB device ( Device Descriptor Request Failed)

Tychob

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
2,367
2,000
Wakuu nimepata tatzo la computer yangu kushindwa kusoma flash, mouse au any USB devices ninazo jarbu chomeka katika port za hii computer,

Na huniletea notification hii ya Unknown USB device ( Device Descriptor Request Failed)

Nimejaribu njia nyingi za kutatua nimeshindwa.

Pia ninatumia Windows 10

Msaada tafadhari...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mjumbe wa bwana

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
4,033
2,000
mkuu drive za PC yako zitakuwa out date chakufanya tafuta drive pack solution tafuta na mb za kutosha alafu ufanye update online kwakutumia hio drive pack solution
 
Johnny Impact

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,723

Njia ya 1.
Download driver pack solution online sbb ukitumia offline bado zitakuwa outdated sbb kila baada ya kipindi fulani wanaupdate driver.

Njia ya 2
Angalia usb cable (huo waya huenda ukawa na shida). Jaribu kuchomeka kwenye pc nyingine km itafanya kazi
 
Tychob

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
2,367
2,000
mkuu drive za PC yako zitakuwa out date chakufanya tafuta drive pack solution tafuta na mb za kutosha alafu ufanye update online kwakutumia hio drive pack solution
Poa mkuu , vip unaweza nipa link ya drive pack solution ili nisizurule saana mtandaoni
 
Tychob

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
2,367
2,000
Njia ya 1.
Download driver pack solution online sbb ukitumia offline bado zitakuwa outdated sbb kila baada ya kipindi fulani wanaupdate driver.

Njia ya 2
Angalia usb cable (huo waya huenda ukawa na shida). Jaribu kuchomeka kwenye pc nyingine km itafanya kazi
Ntalifanyia kaz Mkuu shukrani
 
Johnny Impact

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,723
2,000
Ntalifanyia kaz Mkuu shukrani
''Unknown USB device' kabla ya kuupdate driver. Angalia hizo Usb cable pia jaribu kuchomeka kwenye port zote km tatizo litakuwa pale pale. Chukua usb cable chomeka kwenye pc nyingine.
N:B
Tatizo lako kwa 98% husababishwa na usb cable. Hizi usb cable za kichina huwa siyo nzuri. Ikiwezekana tafuta usb cable original
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom