Nguvu za kiume kwa maana ya kushindwa kusimamisha ama kumaliza haraka? Kumaliza haraka inasaidika kwa kukojoa na kubana (kegel's exercise), kusimamisha nadhani unahitaji kuonwa na specialist.
Basi hiyo ya kubana mkojo na kuachia mara kadhaa kila wakati itakusaidia. Kuna series inaitwa 21st century sex, sijui kama ipo youtube. Inaelekeza massage fulani ambayo hufanywa wakati wa blow job. Unaanzia kwenye shina kama unasokota hivi kuelekea mwisho. Inasaidia kuimarisha misuli. Kila la kheri.
Ulishawahi kupiga punyeto kwa sana?
Kanunue bukta na viatu, kila siku piga tizi kwa kukimbia japo kidogo kidogo kwa umbali mrefu, ili ikichanganya upige tizi la kikweli.....fanya karibu kila siku....! Ndani ya wiki moja hadi mbili, lazima jamshid liamke lenyewe ukiwa peke yako, na halitaki kulala...!
....zipo dawa kibao za kunyanyua na kufanya uende posta mara nyingi.......ila sikushauri utumie dawa yeyote ile hata mara moja.

yani nina matatizo yote,misuli yangu ni dhaifu,pia na wahi sana kumaliza ndugu yangu
Ukiwa fit ya kutosha, hata ukiwahi kumaliza.......bado unaweza kurudia raundi kadhaa baada ya hapo. Mazoezi ni dawa kubwa sana jaribu utaniambia.
Kuwahi kumaliza, mara nyingi (kwa mimi) huwa napiga mbili kwa moja....nishaiongeleaga hapa. Ni hivi, ukianza kusikia wazungu wanakuja....usi'pump au kuchochea tena.....ziache zitoke zenyewe.....kwa kufanya hivi hutasikia raha hata kidogo.....lkn mshobobo hautalala..., mnafuta mazingira mnaenda lingine.................kwanza uwe fiti usije ukazimia juu ya kifua.
pole sana ,labda jaribu kufanyia kazi ushauri wa hapo juu wa njia ya kubana ili usiweze kukojoa haraka na unatakiwa usiwe na papala mzee katika kudo, je baada ya kukojoa dushelele uwa inasimama tena baada ya muda au ndo ilala mazima?
Basi hiyo ya kubana mkojo na kuachia mara kadhaa kila wakati itakusaidia. Kuna series inaitwa 21st century sex, sijui kama ipo youtube. Inaelekeza massage fulani ambayo hufanywa wakati wa blow job. Unaanzia kwenye shina kama unasokota hivi kuelekea mwisho. Inasaidia kuimarisha misuli. Kila la kheri.
Mkuu GOOGLE Umemuuliza swali zuri sana ninakupa hongera unajuwa Vijana wengi wanajiongopea kwa kupiga Punyeto eti wakisema ukipiga Punyeto siku ukikutana na mpezni wako utamtosheleza sana wakati Punyeto ina madhara kwa wanaume sana.Ulishawahi kupiga punyeto kwa sana?
Mkuu Kifude Kama ulikuwa unapiga Punyeto hii ndio iliyokuharibia Nguvu zako za kiume hata kama ukienda hospitali hakuna Dawa za kurudisha Nguvu zako za kiume utajisumbuwa bure kwenda kutafuta Dawa Ma-Hospitalini za kurudisha Nguvu zako za kiume hicho kitu hakuna huko Hospitali.Ukitaka kurudisha Nguvu zako za kiume hebu tembelea Thread yangu nimeweka hap bonyeza https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.htmlYap,nimefanya sana
Mkuu GOOGLE Umemuuliza swali zuri sana ninakupa hongera unajuwa Vijana wengi wanajiongopea kwa kupiga Punyeto eti wakisema ukipiga Punyeto siku ukikutana na mpezni wako utamtosheleza sana wakati Punyeto ina madhara kwa wanaume sana.
Mkuu Kifude Kama ulikuwa unapiga Punyeto hii ndio iliyokuharibia Nguvu zako za kiume hata kama ukienda hospitali hakuna Dawa za kurudisha Nguvu zako za kiume utajisumbuwa bure kwenda kutafuta Dawa Ma-Hospitalini za kurudisha Nguvu zako za kiume hicho kitu hakuna huko Hospitali.Ukitaka kurudisha Nguvu zako za kiume hebu tembelea Thread yangu nimeweka hap bonyeza https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
Pole mkuu kifude dah kwahiyo lakunoga hujakutana nalo kwamuda gani sasa? Hapo kutana na mkuu mzizi mkavu lakini mazoezi yana tija sani wenda wewe nibonge na una mafuta mengi mwilini mwako kwahiyo tizi ina punguza mafuta na kurahicsha mzunguko wadam kufika kwa wingi kwenye dushelele nihayo2 ila pole mkuu kwakulikosa lakunoga lakini ucjali utapona