Msaada: Kubadilisha taarifa za umeme wa LUKU/mita ya zamani

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,304
12,965
Naomba anayejua anisaidie ikiwa mtu amenunua nyumba yenye umeme wa mita ya Luku au hata ya zamani, atafanyaje kubadilisha taarifa za Luku/mita ya zamani yaani jina na anwani ili zisomeke kwa jina lake badala ya mmiliki wa awali?
 
Nadhani kitu cha muhimu tembelea ofisi ya tanesco iliyokaribu yako, watakupa utaratibu wote.
 
Naomba anayejua anisaidie ikiwa mtu amenunua nyumba yenye umeme wa mita ya Luku au hata ya zamani, atafanyaje kubadilisha taarifa za Luku/mita ya zamani yaani jina na anwani ili zisomeke kwa jina lake badala ya mmiliki wa awali?
mkuu iko hivi, unaandika barua kwenda kwa meneja wa TANESCO ukiambatanisha na hati ya manunuzi na barua toka kwenye serikali za mitaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom