Fakhi Jumaa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 239
- 47
Wakuu habari ya Jumapili? Nina Asus mini laptop ambayo ninataka niwe naitumia kuangalizia muvi kwenye TV yangu,ila niki play muvi Muvi zenye High Resolution (kama Blu Ray Kwa kutumia Vlc ,KMP au player yoyote) inakuwa ina stuck,nimegundua kuwa Processor memory inakuwa inazidi 100%,nilijaribu kupunguza baadhi ya program zinazotumia memory hata kama sijazifungua lakini bado tatizo liko palepale,sasa nataka kubadili Processor ili niweke yenye uwezo mkubwa kidogo kwani iliyopo(AMD C-60) ni 1GHz, Naomba kama kuna ushauri zaidi au mtaalamu wa hard ware nimpe hii shughuli anifanyie.NATANGULIZA SHUKRANI.