msaada kubadili lugha tecno p5

Nenda setting>language n input>android keyboard>chagua lugha uipendayo
 
Ushauri wa bure. Tafuta mchina yoyote aliye karibu nawe ili mradi awe anajua na kiingereza japo kidogo. Mpatie abadilishe lugha kuwa english. Kwisha kazi yake...
 
Back
Top Bottom