MSAADA: Kuanzisha Viwanda

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
10,572
9,658
Wasalaam nataka kuanzisha viwanda vikubwa vya kutengeneza bidhaa mbadala wa mkaa.

Hivyo basi vitaajiri mamilioni ya wa Tanzania.

Viwanda hivyo vitakuwa rafiki wa mazingira ...sababu vitatumia malighafi ya takataka zitakazo viwandani,majumbani n.k.

Tatizo bado nazunguka sioni mlango wa kutokea...msaada.


Kutakuwa na hewa saafi.(Hapa wizara ya mazingira naomba msaada)
RecyclingFacts.jpg

Tutatengeneza Briquete ......(Tutaokoa misitu yetu.)
images


Pia tutafunga vinu vya kuzalisha umeme kutokana na taka..miji itakuwa safi....na tutachangia megawatt kadhaa katika gridi ya Taifa.
BI-AB063_GARBAG_J_20151109113857.jpg

in-this-picture-taken-on-march-30-2013-people-search-for-material-to-picture-id165230759

....Karibuni kutoa msaada.......
 
Wazo ziri sana ila hujaainisha umekwama wapi.
Na pili ulipokwama kumetokana na urasim au mawazo ya watu. Hapo unaweza kusaidika maana humu wapo wote.
 
Back
Top Bottom