Msaada: Kuanzisha kipindi binafsi cha TV katika Television za hapa Bongo

MTUSUAJI

Senior Member
Nov 13, 2011
152
147
Habari za majukumu wadau.nilikua naomba kujua endapo nataka kua na kipindi binafsi nitakachotengeneza mie na kwenda kukirusha kwenye tv zetu hizi naahitaji jufanyaje? Upatikanaji wa wadhamini ukoje? Nasshukuru nategemea kupata ufafanuzi kutoka kwenu.
 
andika mchanganuo wa hicho kipindi chako peleka kwa mkono kwenye tv station inayoelekeana na hiyo kazi yako. wataipima kazi yako kama inafaa mtaingia mkataba.
 
Habari za majukumu wadau.nilikua naomba kujua endapo nataka kua na kipindi binafsi nitakachotengeneza mie na kwenda kukirusha kwenye tv zetu hizi naahitaji jufanyaje? Upatikanaji wa wadhamini ukoje? Nasshukuru nategemea kupata ufafanuzi kutoka kwenu.

nimekua kwenye chakato huu kwa zaidi ya miezi 8 sasa, kama vipi tuongee pembeni kama tuaweza kuunganisha nguvu
 
Mimi mwenyewe hili wazo lipo kichwani. Tatizo ni jinsi ya kulifikia na kulifanikisha wazo hili
 
Nina wazo kama hili,
Na nimejaribu kuwashirikosha baadhi ya wadau ambao wamenishauri ifuatavyo;

1.Kukidizaini kipindi kitakuwaje.
2.Ku_record demo ya hicho kipindi.
3.Kuandika Business proposal ya kuomba sponsorsheep kwenye kampuni kubwa.

Wakishaiangalia demo uliyoirekodi na wakiikubali idea yako kuwa itauza,
Hapo m'naweza fanya kazi.

NB:
SI RAHISI KUFANYA HII KITU PEKE YAKO,
KWANI KUNA SEHEMU ZINA CHANGAMOTO.
NI VEMA KUKUTANA HATA WATU KADHAA WENYE LENGO 1 MKACHANGIANA MAARIFA NA MENGINEYO.

Kwa wadau wa hii ishu tukutane PM.
 
Mkuu sina nia yakukukatisha tamaa ila utapata hasara sana ukianzisha kipindi kinachohusu kilimo kwa Tv zetu za bongo, kuna vipindi kadhaa vya kilimo vipo Channel ten vya hovyo kabisa watu wanaamisha stesheni tu.
.
ITV ipo shamba shape up ya wakenya wale jamaa wako vizuri mno kwa namna ya utangazaji wao na upigaji mzuri wa picha.
 
Back
Top Bottom