Meshack msomba
Member
- Apr 4, 2012
- 22
- 6
Ndugu zangu naomba kufahamu kozi hizi zifuatazo kwa ajili ya certificate in ICT, Computer science & Computer maintenance ipi ni nzuri na ipi ina soko? Tafadhalini naombeni msaada.
Soko la fani siku hizi linategemeana na "CONNECTIONS" kijana hizo habari za soko hakuna siku hizi.Ndugu zangu naomba kufahamu kozi hizi zifuatazo kwa ajili ya certificate in ICT, Computer science & Computer maintenance ipi ni nzuri na ipi ina soko? Tafadhalini naombeni msaada.
Mleta mada naomba uamini asemacho huyu ndugu.Soko la fani siku hizi linategemeana na "CONNECTIONS" kijana hizo habari za soko hakuna siku hizi.
Kwahiyo kama bado mwanafunzi,wewe piga shule tu kwanza.