Msaada: Kodi importation ya passo 2005, 990cc inarange kiasi gani?

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,854
6,209
heshima kwenu wadau.

naomba msaada wa makadirio ya kodi ya toyota passo ya mwaka 2005,990cc itakuwa kiasi gani?

na je gari ya mwaka 2005 march japan ukiingiza tanzania itakuwa na gharama ya uchakavu wowote?

sijajua vizuri tra formula yao ya kisasa inakwendaje?
 
heshima kwenu wadau. naomba msaada wa makadirio ya kodi ya toyota passo ya mwaka 2005,990cc itakuwa kiasi gani? na je gari ya mwaka 2005 march japan ukiingiza tanzania itakuwa na gharama ya uchakavu wowote? sijajua vizuri tra formula yao ya kisasa inakwendaje?
ni 70% ya pesa uliyonunulia huko nje
 
heshima kwenu wadau.

naomba msaada wa makadirio ya kodi ya toyota passo ya mwaka 2005,990cc itakuwa kiasi gani?

na je gari ya mwaka 2005 march japan ukiingiza tanzania itakuwa na gharama ya uchakavu wowote?

sijajua vizuri tra formula yao ya kisasa inakwendaje?
kwahiyo passo ushuru andaa millio 2 na laki moja na chenji inabaki.
 
heshima kwenu wadau.

naomba msaada wa makadirio ya kodi ya toyota passo ya mwaka 2005,990cc itakuwa kiasi gani?

na je gari ya mwaka 2005 march japan ukiingiza tanzania itakuwa na gharama ya uchakavu wowote?

sijajua vizuri tra formula yao ya kisasa inakwendaje?

Motor vehicle with less than 1000cc
Example of vehicles: Toyota Vitz model SCP10, Toyota duet Model M100 , Nissan March Model K11, Suzuki Carry Model DD51 and Mazda Demio DW3W
GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION
Current Retail Selling Price 13,521
Depreciation70%
Freight
Customs value 2,200
FOB Value 2,200
Import Duty 25% 550
VAT Base 2,750
VAT 18% 495
Total Taxes 1,045
Total Taxes in TSHs
1,724,271 -total duties and taxes you may add registration 350,000.
 
Back
Top Bottom