Msaada....kitwana manara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada....kitwana manara

Discussion in 'Sports' started by luck, Jun 21, 2011.

 1. luck

  luck JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 772
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  kuna mwenye data za kitwana manara.niliskia alikuwa akicheza kama golikipa wa timu ya taifa na wakati huohuo akicheza km senta fowadi pale yanga.

  Naona km hadithi huyu mtu alikuwa ni mtu wa namna gani kucheza maeneo hayo mawili tofauti tena katika kiwango cha juu kabisa.

  Mwenye data tafadhali.
   
 2. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kitwana Manara yupo dar mjasiria mali. Ni kweli alanza kuwa golikipa wa yanga na Timu ya Taifa. baadaye akanza kucheza kama Centre Forward kuanzia mwaka 1968. Alikuwa hatari sana angani hasa wakati wa kona.
   
 3. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Amekuwa akitoa historia yake ya soka kwa wiki mbili mfululizo kupitia mahojiano na BBC. Ni kweli kwamba alikuwa center foward wa yanga na wakati huo huo akiwa kipa namba moja wa timu ya taifa!
   
Loading...