baada ya kuhitimu chuo kikuu. mwajiri hamtaki mwajiriwa. anamwandalia mafao yake. kwa tendo hilo haki za mwajiriwa ni zipi. baada ya kufanya kazi lwa miaka kumi bila onyo.
Suala la assesement linafanyika kila mwaka na juu ya mkataba - kwa ujumla ni barua ya ajira tu iliyopo na haisemi lolote juu ya hatua zinazohusu work performance. Kama nilivyosema alikuwa shule huku akifanya kazi na kwa ruhusa ya ofisi, tendo la kumaliza tu ndio pilika hizo za kuonekana hana uwezo wa kazi na kukubaliwa kwenda shule ilikuwa ni motisha kwa watumishi kuwa kampuni inajali wafanyakazi bora.