msaada kisheria

kwa wataalamu wa sheria naombeni darasa juu ya maana halisi ya case law

Kesi ikiamriwa kwenye mahakama ya juu inakuwa na nguvu ya sheria (inafuatwa katika nchi husika hadi itakapobadilishwa na bunge au na mahakama ya juu kabisa). Mfano, kwa Tanzania mgombea binafsi hawezi kuwa "prezida" kwa vile mahakama ya rufaa ilishaamua kwamba ni kinyume cha Katiba na hivyo Mchungaji Mtikila, ambaye alikuwa ndiye amepeleka madai mahakamani ili mgombea binafsi aweze kugombea uongozi nchini, akashindwa. Hivyo, kama ukiulizwa mfano, kwa kutumia 'case law', onesha kama mgombea binafsi anaweza kuwa "prezida" Tanzania au la basi ukitumia hii ya Mchungaji Mtikila v Mwanasheria Mkuu wa Serikali unakuwa umetumia 'case law'.
 
nimekupata asante sana kwaio kumbe kwa kifupi ni sheria inayotokana na kesi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom