Comptroller is correctSiyo Comptroller and Audit General. Neno sahihi ni Controller and Auditor General.
Wajuzi mnakaribishwa nataka kujua kirefu cha hivi, RPO,RPC,DCI,OCD,DSO,OCD kama kuna vingine ongezea
RC Regional commissioner
DC District Commissioner
CAG Comptroller and Audit General
CDF Chief Defense force
Boss OCD na DSO mbona kama ni vyeo tofauti ama!!?RPC - Regional Police Commissioner
DCI - Director of Criminal Investigations
OCD - Officer Commanding District, wakati mwingine unaweza kusema
DSO - District Security Officer
Hiyo RPO sijui ulitaka kumaanisha RTO (Regional Transport Officer) ama nini, binafsi hicho RPO sijui.
Ongeazea na OC - CID (Officer Commanding - Criminal Investigation Department)
Pia inaweza kuwa RTO= Regional Trade Officer...RPO =Regional prison officer
RTO=Regional Traffic Officer
Are you sure? Tangu lini Afisa Usalama wa Wilaya ikawa ni cheo sawa na Kamanda wa Polisi wa Wilaya?...RPC - Regional Police Commissioner
DCI - Director of Criminal Investigations
OCD - Officer Commanding District
DSO - District Security Officer
Hiyo RPO sijui ulitaka kumaanisha RTO (Regional Transport Officer) ama nini, binafsi hicho RPO sijui.
Ongeazea na OC - CID (Officer Commanding - Criminal Investigation Department)
Boss OCD na DSO mbona kama ni vyeo tofauti ama!!?
Uko sahihiNi tofauti manake OCD nadhani ni Kamanda wa Polisi Wilaya, na DSO ni Afisa Usalama wa Taifa (Wilaya)
Are you sure? Tangu lini Afisa Usalama wa Wilaya ikawa ni cheo sawa na Kamanda wa Polisi wa Wilaya?...
Kwa kifupi OCD ndiye Mkuu wa Polisi wakati DSO anasimamia Usalama wa Taifa Wilayani...Afisa Usalama wa Wilaya nimeandika ni DSO (District Security Officer) na Kamanda wa Polisi wa Wilaya nimeandika ni OCD (Officer Commanding - District), sijajua nimekosea wapi hapa mkuu hebu nirekebishe
Boss OCD na DSO mbona kama ni vyeo tofauti ama!!?
Na plate number hii maana yake nini?
RAC.