Msaada: kipini chekundu ninachokiona mbele ya baadhi ya Threads huwa kina maana gani?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Wapendwa Wakuu habari za mida hii,

Shida yangu ni hiyo kuna baadhi ya thread ukiwa unapita unakiona kipo mbele ya threads. Sijajua kina maana gani au ndo ban hiyo,
 
Back
Top Bottom