Msaada: Kipimo cha blood kimeonesha abnormal population band

Kajogoro2021

New Member
Oct 20, 2021
3
0
Naomba ushauri,

kipimo cha blood kimeonesha abnormal population band doctor anasema kuna cell nyingi mwilini naomba kujua kama ina shida gani au adhari gani na naweza fanyaje kujua tatizo.

Karibu wadau.
 
Habari za jioni,

Band cells ni chembechembe changa za seli nyeupe za damu ''white blood cells i.e Neutrophils''. Kazi kuu ya seli nyeupe ya damu ni kupambana na magonjwa. Kwahiyo hizo band cells zikionekana kwa wingi inaweza kuwa dalili ya mwili unapambana na ugonjwa japo sio mara zote. Ni vizuri kama unaonyesha dalili zozote ukarudi kwa wataalamu kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Nikutakie jioni njema.
 
Doctor ameshindwa kutanabaisha kwako maana ya hicho kipimo na amekushauri uje kuomba msaada hapa JF?

Nauliza tu
 
Habari za jioni,

Band cells ni chembechembe changa za seli nyeupe za damu ''white blood cells i.e Neutrophils''. Kazi kuu ya seli nyeupe ya damu ni kupambana na magonjwa. Kwahiyo hizo band cells zikionekana kwa wingi inaweza kuwa dalili ya mwili unapambana na ugonjwa japo sio mara zote. Ni vizuri kama unaonyesha dalili zozote ukarudi kwa wataalamu kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Nikutakie jioni njema.
Nashukuru kwa msaada wako mkuu, uchunguzi wa awali nipima stool,urine,MRDT, Typhoid na HIV vyote vikawa negative
 
Back
Top Bottom