Msaada: Kinyama kimeota sehemu za siri

Extrovert24

Senior Member
Jun 23, 2022
107
124
Habari zenu wana Jamvi, samahanini kidogo niwatake wenye kujua suala hili waweze kunijuza na namna linaweza kutatuliwa.

Jambo lenyewe ni kuhusu Afya ya uzazi wa mwanamke, mimi mke wangu katika sehemu zake za siri (ukeni) kuna kama kinyama kimeota na humsababishia maumivu Makali Wakati wa kushiriki tendo la ndoa na pia huwa ni sababu ya manii kushindwa kuingia ukeni kwa ajili ya kutungisha mimba, bimaana manii yakitaka kuingia huzuiliwa na hicho kinyama hivo kumwagika tena nje.

Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi wa hilo, kama naweza fahamu sababu, na pia namna ya kusolve hilo tatizo.

Nawasilisha
 
Hemorrhoid hiyo wapi hospitali akafanyiwe haemorrhodoctomy
 
bawasiri hiyo nenda hospital haraka mkuu
 
Weka picha
 
Akhi hiyo ni bawasiri na kuna ndugu zetu wengi wanatibu hiyo kitu
Chukua hii no mpigie uyu jamaa umuelezee tatizo lako
+255 767 221 171
 
Back
Top Bottom