Msaada king'amuzi changu kinaandika smart card is expired

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Wakuu habari za saa hizi, mm nna king'amuzi changu cha azam sijakitumia muda mrefu kama miezi mitatu sasa leo nimeamuwa kukitumia lakini kinaniandikia kuwa smart card is expired so wakuu nifanyeje au ndio mpaka nipate hiyo wanayo sema soft ware yao mpya na jee naipataje hiyo soft ware yao

Msaada tafadhari wakuu kwa anayejuwa
 
fanya malipo tu mambo yatakuwa safi,hata mi ishanitokea hivyo nilipolipa hakukuwa na tatizi
 
Wakuu habari za saa hizi, mm nna king'amuzi changu cha azam sijakitumia muda mrefu kama miezi mitatu sasa leo nimeamuwa kukitumia lakini kinaniandikia kuwa smart card is expired so wakuu nifanyeje au ndio mpaka nipate hiyo wanayo sema soft ware yao mpya na jee naipataje hiyo soft ware yao

Msaada tafadhari wakuu kwa anayejuwa
Nenda kwa wakala wa Azam tv aliye karibu nawe
 
Back
Top Bottom