Msaada king'amuzi cha star times

madigida

Member
Jan 30, 2013
40
2
Mimi naishi Tanga mjini natumia king'muzi ch star times. Juzi nilikuwa Dar nikuta jamaa anatumia star times na mlendani kuna channels za ITV na STAR TV zikofiti zinaonekana. Lakini huku Tanga hatupati hizi loca channels zaidi ya tbc na channei 10. Naomba kufahamishwa tatizo ni lipi na je nikitaka kupata ITV na STAR tv nifanyeje? Tafadhali naomba msaada wenu
 
Uza ununue chenye hizo chanel.
 
juzi nilimsikia afisa mauzo wa startimes anasema hilo suala linajulikana tatizo ni kwa wenye stations hizo na si startimes!ila wako kwenye mazungumzo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom