Msaada: Kilwa ni hotel gani nzuri kupumzika na familia?

1.Pakaya hotel
2.Kimbilio lodge (hii nayo ilihusika kwny ajali ya moto hivi karibuni)
3.Kilwa dreams (hii iko pembezoni kidogo kutoka mjini)
4. Kilwa star hotel (ni jirani na klw dreams)
5. Sea view hotel
6. Bandari Lodge
7. Mwangaza Lodge (hii ni maalum kwa wageni itakufaa sana)
Hotel hizi zote zipo kilwa Masoko
Mkuu CODE501 Nashukuru sana. Ni mkazi wa Kilwa wewe maana list hii mgeni hawezi kuipanga.
 
Back
Top Bottom