Msaada, Kikuu online market

Hawa jamaa mara nyingi wanauza Mitumba ya Simu kwa Kampuni Kubwa kama IPhone, Samsung, Oppo, Huawei, Xiaomi, Vivo, Meizu, HTC,LG, NOKIA, Motorola. Kidogo Xiaomi ndo wameanza kuuza simu mpya.
Ukiagiza simu huchukua siku 28-hadi 45 kwa wale tulioko mikoani. Ila kwa kweli simu zao ni za Ukweli.
Kama wadau walivyokushauri usinunue simu usiyoifahamu, angalia Makampuni maarufu kama nilokutajia hapo juu. Kwa mfano kama umetulia kuna OPPO yenye RAM 6GB na Rom 128 GB inauzwa kwa TZS. 400,000/= almost ni mpya japo ni mtumba.
Jaribu pia uangalie Reviews za watu walokwisha nunua bidhaa kwa huyo seller.
Kwa ufupi hawa jamaa ni waaminifu sana. Lakini unahitajika moyo wa uvumilivu sana kusubiria mzigo wako. Jambo jingine kama uko mbali na Makao makuu ya Mkoa, hii ni changamoto, mzigo unaishia mkoani tofauti na Aliexpress ambao wao wanakuletea hadi Posta ya karibu au Wilayani.

View attachment 1741825
vip kuhusu AliExpress bidhaa zao zikoje
 
vip kuhusu AliExpress bidhaa zao zikoje
Hawa wapo vizur ila napo usinunue used wala refurb jichange ununue mpya na kabla ya kununua penda kupitia comments za walionunua hiyi bidhaa na pia sizan kama aliexpress kuna freeshiping kama kikuu kwa kila bidhaa
 
Hawa wapo vizur ila napo usinunue used wala refurb jichange ununue mpya na kabla ya kununua penda kupitia comments za walionunua hiyi bidhaa na pia sizan kama aliexpress kuna freeshiping kama kikuu kwa kila bidhaa
asante kiongozi
 
Nyongeza ya hiyo Mkuu, Online bidhaa zipo chini, fuatilia maelekezo ya mdau.
Simu za XIAOMI na REALME ziko vizuri sana.
Angalia Xiaomi REDMI Note Series. Ziko vizuri mno. Pia naungana na Patra 31. Nunua Simu mpya.
 
Shida sio kikuu au aliexpress. Shida ni hyo simu alionesha hapo ni fake. Yaani achana na simu feki kabisa ni matatzo. Ni bora anunue kma ww ulivyofanya, simu inayotoka kwenye company inayojulikana

Tafsiri ya simu fake ni nn
 
Viwango vipi vilivyoainishwa
Umeona ile picha kule juu? Wameandika 512GB storage na 12GB RAM kwa laki 2. Muonekano uliowekwa hapo kwenye picha yenyew haufanani kabisa na simu yenyewe ikija. Hiyo hafikii viwango hvyo kabisa. Na pia inajribu kutrick watu ionekana kma ni Samsung
 
Achana nayo hizo sim za kikuu nyingi ni toys mana bora ingekua feki afazali, kuna jamaa yangu kaagiza sim inaitwa i12 pro,ina Rom 512 gb. Imekuja sim rom haifiki hata 4gb
habari zenu wana jf
naomba ushauri kutoka kwa wazoefu wa online marketing hasa kupitia kikuu maana kuna mzigo nataka kuagiza ila sina uhakika na ubora wa bidhaa zao na ukweli kuhusu features wanazo toa na pia kuhusu delivery.
hivyo kwa anaejua basi naomba anajulishe kuhusu hayo mambo
bidhaa yenyewe ni hii kwenye picha
asante!View attachment 1741229
 
habari zenu wana jf
naomba ushauri kutoka kwa wazoefu wa online marketing hasa kupitia kikuu maana kuna mzigo nataka kuagiza ila sina uhakika na ubora wa bidhaa zao na ukweli kuhusu features wanazo toa na pia kuhusu delivery.
hivyo kwa anaejua basi naomba anajulishe kuhusu hayo mambo
bidhaa yenyewe ni hii kwenye picha
asante!View attachment 1741229
Mkuu kwa ushauri wangu kununua simu ni bora uende dukani au kama ni nje basi uagize mtu unayemuamini,simu zinazouzwa KiKUU hazinaga majina ya brand,hali inayofanya nisiziamini kabisa
Lakini kama unanunua bidhaa tofauti na simu na vitu vikubwa,KiKUU ni sehemu nzuri tu tena vitu bei chee kabisa
 
Kama unataka kununua kitu Kikuu jaribu kwanza kum consult seller Mimi huwa nanunua karibu kila kitu kupitia seller mmoja na Mara nyingi wauzaji Wa Kikuu huwa wanaenda kulangua kwingine, sio wote ni wauzaji, ukiona umeagiza mzigo mwanzo au kati ya wiki na wiki ikaisha mzigo ujafika airport ujue hicho kitu umenunua kwa mtu ambae hana na yeye kaenda kutafuta
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom