Msaada: Kifungu kinachozungumzia mfanyakazi kwenda masomoni au training | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Kifungu kinachozungumzia mfanyakazi kwenda masomoni au training

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by CHE GUEVARA-II, Jan 11, 2012.

 1. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Wadau, heri ya mwaka mpya?
  Naomba msaada wa sheria na kifungu kinachozungumzia mfanyakazi anapokwenda nje ya working site kwa ajili ya masomo au training ambayo pia inauhusiano na kampuni (are those days, paid, unpaid and what about effect on vacation leave?) Naomba copy ya hiyo sheria yenye kifungu hiyo. nimetafuta kwenye ELRA- Tz, 2004 sijaona, OHS Act - Tz, 203 sijaona. Msaada please! Urgently needed!
   
Loading...