Msaada: Kifaa gani kitaniwezesha kutoa picha (video) kutoka kwenye pc kwenda kwenye projector?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Kifaa gani kitaniwezesha kutoa picha (video) kutoka kwenye pc kwenda kwenye projector??

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Deejay nasmile, May 9, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Napenda kujua jina lake au kama mtu anauza basi tufahamishane
   
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Hiyo PC yako ikoje?yaani jaribu kueleza aina ya multimedia ports ilizonazo.
  Mara nyingi PC huwa na haya matoleo(outlets) kwa ajili ya kutoa video:
  1. VGA
  2. HDMI/DV
  3. S-Video

  Sasa kifaa kinachohitajika hapo ni labda moja kati ya hizi nyaya:
  1. Waya wa VGA
  2. Waya wa HDMI
  3. Waya wa S-Video
  4. Waya wa AV
   
 3. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  projector nyingi za siku hizi zinakuwa na cga cable yake kabisa from shop...u just plug in to your vga port!!
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Well said mkuu!
   
 5. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  hapo sijazijua vizuri hayo matoleo.Computer yangu dell gx620 ila ina port ya vga (ambayo nimeconnect moniter) na port nyingine cjui ya nini
   
 6. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Projector yangu ina matundu mengi ila cjui majina yake.Mi nimezoea ku-input picha kwa waya wa av tu!
   
 7. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  unaweza kuchomoa monitor then uchomeke projector vga cable hapo kwenye port ya vga..
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu Deejay nasmile1st rule kwenye mambo ya teniki ni RTFM (Read the ****ing Manual ).

  Kuhusu hiyo Prrjector yako mtu wa mbali hawez kuijua ni brand na model gani. But sababu na wewe ni mtaalaam tafutatu manual yake kwenye website ya watengezaji.utakuta njia mbalimbaliza kuiunganisha na majina . Au tuamabie model na brand ili tutazamie madesa google then tuje tumwagie data .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Dell GX620 ina toleo moja tu la video ambalo ni VGA.Hayo matundu mengine hayahusiki kwani moja ni Serial na nyingine ni Parallel port.

  Hilo alilokushauri mkuu kwa hiyo quote ni solution namba moja. Hii ni kama tu unahitaji kutumia projector yako kwa tukio la siku moja au shughuli ya muda mfupi.
  Solution namba mbili, kama utakua unahitajika kutumia projector yako mara kwa mara itakubidi ununue "graphic card" mbadala yenye "outlet port" za multimedia zaidi ya moja.
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Pia huwa kuna converters .Nadhanii hii ni Option bora kuliko graphic card . Akinunua converter sahihi Converter itamuwezesha kufanya Output ya kompyuta na input za Projector "Zioane" hatakama zilikuwa haziiingliiani
   
Loading...