MSAADA: Kifaa cha kumlishia mtoto mwenye tatizo la mdomo sungura (cleft palate)

mamyake

Member
Jan 2, 2014
88
60
Habari zenu Wakuu. Natafuta kifaa special kwa ajili ya kumnywesha maziwa mtoto mwenye tatizo la cleft palate (special feeder). Yeyote anaefahamu vinapouzwa kwa hapa Tanzania tafadhali anifahamishe.
IMG_20190919_000701.jpeg
 
Mpeleke hospital akafanyiwe operation
Mtoto ni newborn ana wiki 1 yupo hosp amelazwa tangu alipozaliwa. Tumeambiwa operation ni hadi afikishe walau kilo 4.5, amezaliwa na kilo 3. Tatizo kunyonya hawezi, akinyweshwa kwa kijiko/kikombe hamezi yanarudi. So anatumia mpira. Tunatafuta alternative ya namna ya kumnywesha maziwa ili mama na mtoto waruhusiwe kurudi nyumbani mpk mtoto atakapotimiza vigezo vya kufanyiwa upasuaji.
 
Nimekupata zingatia ushauri was wadau hapo juu dadangu
 
Mtoto ni newborn ana wiki 1 yupo hosp amelazwa tangu alipozaliwa. Tumeambiwa operation ni hadi afikishe walau kilo 4.5, amezaliwa na kilo 3. Tatizo kunyonya hawezi, akinyweshwa kwa kijiko/kikombe hamezi yanarudi. So anatumia mpira. Tunatafuta alternative ya namna ya kumnywesha maziwa ili mama na mtoto waruhusiwe kurudi nyumbani mpk mtoto atakapotimiza vigezo vya kufanyiwa upasuaji.
Pole Sana ndugu yetu. Mwenyezi Mungu awavushe salama katika hili. Binafsi sijawahi ona hapa TZ vifaa vya kumlishia mtoto mwenye cleft palate ila kama alivyoshauri mdau mmoja weka order amazon . tunamwombea mtoto uponyaji wa haraka na upasuaji utakaomponya
 
Amina. Asante sana ndugu. Nimeshafanya mchakato wa kuagiza amazon.
 
Back
Top Bottom