Mende washagusa waya wa displayWakuu msaada mwenye kujua tatizo tv yangu LG haionyeshi display ila power iko on
Hebu jaribu u click button ya power kwenye remote ya tv, mkuu hivi mechi ya yanga inaonyeshwa channel gani dstv?Bado tatizo linaendelea haionyeshi kitu ila power iko on red
Peleka kwa fundi tu mkuuNimefanya hivyo imeshindikana
Mpaka hapa umeikosa mechi ya yanga, sema wametoa droo bila shaka!Nimefanya hivyo imeshindikana