Msaada Kidogo Kielimu Hapa Anayejua Jinsi ya Kutoa Pesa Kutoka Paypal

Kama zipo paypal na ni USD basi kwa $400 unaweza pata around 894,000/=
Okay, kama hautojali kunielezea. Kwa sasa mkuu anataka kutoa 400$. Ni kiasi gani atapata ukipita vihunzi vyote mpaka kufikia TZS?
 
Siyo lazima ufungue kwa vpn. Ila kikubwa tu bado utalazimika kuprovide ID yako. Kama utaweza kuprovide ID ya nchi nyingine haina shida...
Hivi mkuu, kwa uzoefu wako,
Je naweza kufungua account PayPal through VPN nakuweza kupokea pesa PayPal then niitumie kununua BTC
 
Siyo lazima ufungue kwa vpn. Ila kikubwa tu bado utalazimika kuprovide ID yako. Kama utaweza kuprovide ID ya nchi nyingine haina shida...
Tatizo litakuwa hapo kwenye ID ya nje.

Umesema sio lazima kutumia VPN
Je, naweza kutumia ID zangu za ndani na Acc. yangu ikawa verified nanikaweza kufanya hiyo miamala ya BTC

Pia kama haiwezekani, kama hutojali unaweza ukaShare njia ambazo naweza nikafanya na Acc. ikawa active

note: Acc. hiyo ni kwaajili ya miamala midigo ya chini ya $120 per transaction

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona unaumiza kichwa hivo siku hizi line za safaricom zipo kibao tz .buku kumi tu unamiliki line yako ya safaricom.unaunganisha na paypal unajitumia then unatoa kupitia mpesa yako kiroho safi.hapa kwenye cm yangu nineiweka roaming coz naitumia kwa madili yangu ya mtandaoni
kibajaji nahtaji line ya safaricom niuzie asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom