Msaada kidogo jamani..........

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,206
Je mtoto wa miaka 10 akikualiza watoto wanatokaga wapi? Utajibu nini??:A S-baby:
 
mweleze ukweli wanapatikanaje na wanapotokea n.k (elimu nzima ya uzazi) haina haja ya kumdanganya wananunuliwa sokoni kama ambavyo tulikuwa tunadanganywa enzi hizo, atakwambia na mimi nataka nikanunue lol!
 
asante sana kwa msaada wako kwani watoto wa umri huo wana mswali kupita kiasi..:smile-big:
 
ahh apana
mwambie ukikua nitakwambia
mwambie subiri kdg ukianza form one ntakuambia mwanangu ehh au jaribu kuzuga upoteze mada husika.......sasa akikuuliza na miimi nilitokea uko baba(afta kumwambia ukweli apo...na wewe ulifanya na mama?)ahh apana mpotezee bwana mwambie kuna siku ntakwambia
 
asante sana kwa maoni yako

He!! miaka kumi mkubwa ivo hajui?
Sikuhizi wanajua kuanzia miaka sita mpaka saba
Huyo keshajua ila nakutest kama huwa unamdanganya
mwambie ukweli but not so deep
 
Mpe ukweli huyo ikiwezekana wakati unasimamia show we na bi mkubwa unamwonyesha 2kio liloleta mtoto
 
watoto wa siku hizi wanajua mambo mapeeeeema,pengine kasikia kitu,ila anataka kuhakikisha.muelezee ila mtolee mifano ya kitoto,na umwambie ukifika muda utamuelezea zaidi
 
Mwambie ni kutokana na uvamizi wa usiku ndani ya chumba cha baba na mama.
 
Mpe sure tu! watoto wa siku hizi wajanja sana anaweza kuwa anataka kuhakikisha tu taarifa alizonazo na ukamdanganya hakuamini tena!
 
Je mtoto wa miaka 10 akikualiza watoto wanatokaga wapi? Utajibu nini??:A S-baby:
kama anasoma hizi english medium atakuwa kasikia shule. We muulize yeye anafikiri wanatoka wapi halafu utajua pa kuanzia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom