ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,319
- 50,533
Habari zenu wakuu
Nipo sehemu ambayo nimekuta hiki kifaa kwenye maliwato lakini kinanipa utata kidogo. Naomba kujua matumizi sahihi na namna ya kutumia.. JE mikono inakuwa na kazi au chenyewe tu kinatosha.. Kizuri sana hiki kidude nimekipenda sana